DOORMAT
Sold by: Miss Rebecca Home decoration amd accesories
TSh 10,000
Description
Huna haja ya kuweka vitambaa au taulo mlango mpendwa wangu, njoo nikuuzie doormat nzuriii inayovutia inatakayo wafanya wageni wako watamani kuingia ndani kwako. Muonekano, maua na rangi zake ni balaaaa sanaaa. Size yake ni 50 kwa 80
Login to view seller contact information.