SUFURIA
Sold by: Miss Rebecca Home decoration amd accesories
TSh 150,000
Description
Wapendwa wangu hii sufuria ni zaidi ya balaaaaa, sufuria nzuri kimwonekano, sufuria nzito, sufuria iko na mifuniko yake, unaweza kuifanya hata hotpot kwenye shuhuli ya nyumbani hapo ukapakulia chakula. Sufuria ziko 5 na fryng pan 1
Login to view seller contact information.