ZULIA LA NYASI
Sold by: Miss Rebecca Home decoration amd accesories
TSh 50,000
Description
Ni zulia zuri sana na imara pia, Linaujazo mkubwa sana, Haliathiliwi na maji, Unaweza kutumia kama background kwenye kupiga picha , Pia unaweza kuweka kwenye gari, Upana wake ni sawa na mita 2 Tunaanzia mita 1 kuuza
Login to view seller contact information.