Nyangi Marketplace

Beeswax skincare

Sold by: Blessing Apiary

TSh 25,000
Description

Jeli yetu ya mwili iliyotengenezwa kwa malighafi asilia inafaa kabisa kwa changamoto za ngozi nyeti kama vile ukurutu (eczema), ngozi kavu na yenye kuwasha. Imetengenezwa kwa siagi ya kakao, mafuta ya nazi na madini muhimu pamoja na nta ya nyuki ili kuhakikisha ngozi inalindwa ipasavyo. Inapatikana katika ujazo tofauti wa 125g, 250g na 350g.

Login to view seller contact information.
0

Announcements