Nyangi Marketplace

Honey dispenser

Sold by: Blessing Apiary

TSh 20,000
Description

Tumia na andaa mezani asali yako kwa namna yenye heshima na mvuto wa hali ya juu. Jagi/dispenser yetu ya asali huzuia uchafuzi usio wa lazima unaoweza kusababishwa na vumbi au vijidudu, pamoja na kumwagika kidogo kunakoweza kusababisha upotevu wa bidhaa hii ya thamani. Jagi/dispenser yetu imetengenezwa kwa plastiki ngumu hivyo ni rahisi kutumia na haitelezi kwa urahisi.

Login to view seller contact information.
0

Announcements