Comb honey(asali ya masega)
Sold by: Blessing Apiary
TSh 15,000
Description
Imekusanywa kwa umakini moja kwa moja kutoka kwenye sega ndani ya mzinga. Inafaa kuliwa ikiwa mbichi kutokana na asili yake ya kunata, na inaweza kupakwa kwenye vitafunwa kama mkate n.k. Pia inafaa kuliwa na watoto hadi watu wazima.
Login to view seller contact information.