Bee pollen(chavua)
Sold by: Blessing Apiary
TSh 50,000
Description
Ni zao la nyuki linalovunwa moja kwa moja kutoka mzinga, na hutumiwa na binadamu kama virutubisho vya kuongeza kinga ya mwili. Husaidia kutuliza matatizo ya ngozi kama vile mzio, matatizo ya mmeng’enyo wa chakula, na pia huongeza nguvu mwilini kutokana na virutubisho vyake vya vitamini na vioksidishaji. Inapatikana kwetu kwa ujazo wa robo kilo(250)
Login to view seller contact information.