Nyangi Marketplace

Beeswax repellant candles

Sold by: Blessing Apiary

TSh 5,000
Description

Mishumaa imetengenezwa kwa nta safi ya nyuki na kuchanganywa na mafuta ya asili ya eucalyptus na citronella, yakisafisha hewa ya mazingira yako kwa harufu ya kupendeza ya joto na baridi, huku zikisaidia kufukuza mbu na wadudu wanaoruka.

Login to view seller contact information.
0

Announcements