Stingingbee Honey(asali ya nyuki wakubwa)
Sold by: Blessing Apiary
TSh 12,000
Description
Asali ya nyuki wakali ya porini, mbichi na ya asili hupatikana kutoka katika mazingira ya asili ya Arusha, Iringa na Katavi. Imesafishwa kwa uangalifu ili kuhifadhi ladha, harufu na faida zake zote kiafya. Inapatikana katika ujazo wa 250g, 500g na 900g.
Login to view seller contact information.